Kuanzia juzi kumekuwa na habari
zilizosambaa kwenye mitandao kijamii kutokea Tengamano Tanga ambapo
imedaiwa mti aina ya Mwembe unatokelezea sura ya Mwl Julius Nyerere na
upande mwingine Mama Maria nyerere sasa kwa niaba ya Uongozi Diwani wa
kata ya Majengo, Tengamano Tanga, Suleiman Idd Mbarouk ametoa ufafanuzi kuhusu madai hayo…….
>>>’kila
mmoja anazungumza kulingana na mtazamo wake, mwembe ule hauna
mabadiliko kwamba usiku unakuwa tofauti na mchana unakuwa tofauti,
muonekano wa usiku ndio muonekano huohuo wa mchana isipokuwa kitu
utatakchokutana nacho kama shuhuda ni kile kitu ambacho kwenye mawazo
yako umetegemea kukiona‘
Unaweza kusikiliza kwa kubonyeza play hapa chini…..
No comments:
Post a Comment