‘Mimi kule nilikuwa naishi kama staa kwasababu pia wale watu ambao nilikuwa naishi nao walikuwa wanajua mimi ni mtu ambaye walishawahi kuniona kwenye magazeti na TV kwa hiyo nilikuwa naishi vizuri hata hivyo Babu Tale aliwambia kuwa wanipe kipao mbele’ >>>Chid Benz
‘Kuhusu mimi nitakuwa kwenye lebel gani mimi namuachia Babu Tale kwasababu yeye ndio aliyeninyanyua upya na kunirudisha niwe kwenye muonekano huu yaani ni shine kwa mara nyingine, kwahiyo mimi na msikiliza yeye atakachoniambia‘>>>Chid Benz
No comments:
Post a Comment