HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday 13 June 2016

Video: Linnah kafunguka kuwa anatamani Darassa angekuwa Baba watoto wake


June 13 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hizi kutoka Perfecto TV,  mrembo kutoka bongoflevani Linnah amefunguka kuwa anatamani kuwa Rapper Darassa anagekuwa Baba watoto wake.
Naweza ni kasema kuwa kutokana na tabia alizonazo Darassa anastahili kuwa baba maana nimekaa na Darassa kwa muda mfupi lakini nimemkubali sana, nimemuona ni mtu flani ambaye namkubali sana yaani Darassa ana kila kitu ambacho mimi natamani Boyfriend wangu angekuwa nazo‘>>>LinnahIMG_20160613_163600
Mtu wangu hili kuzipata story zote ambazo zimechukua Hedlines leo June 13 2016 kwenye Perfecto TV nimekuwekea hapa chini Video kuzitazama zote ULIMISS HII YA DIAMOND PLATNUMZ HATAISAHAU COMMENT MBAYA INSTAGRAM ITAZAME HAPA CHINI..

No comments:

Post a Comment