HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 14 June 2016

VIDEO: Mbunge Catherine Magige amehoji vijana kushinikizwa kuandamana kwa kukosa ajira


Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni June 14 2016 nakukutanisha na majibu ya Waziri Jenista Mhagama na Naibu wake Antony Mavunde waliposimama kujibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Catherine Magige aliyehoji tatizo la vijana wa Arusha kutumiwa kuandamana huku wakikosa ajira.

No comments:

Post a Comment