HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 10 June 2016

Video: Majibu ya Abdu Kiba Kuhusu kujiunga WCB ya Diamond Platnumz



Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Abdu Kiba yuko  tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya  Diamond Platnumz, June 8 2016 AyO TV pamoja na millardayo.com imekutana na Abdu Kiba na katoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB.
>>’Si kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya huku’

No comments:

Post a Comment