HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 12 July 2016

Hii video mpya ya Elani na Jaguar ‘Sirudi’ Enjoy.


Hii video mpya ya Elani na Jaguar ‘Sirudi’, ni wimbo unaohusu mapenzi na makosa wanayofanya wanaume mpaka kupelekea mwanamke kuondoka nyumbani.
Video pia inahusu unyanyasaji wanaopata wakina mama wanapokuwa ndani ya ndoa.

No comments:

Post a Comment