HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 5 July 2016

Una milioni zako na unataka kununua gari dogo la kutanulia town (picha 11)


Naongea na mtu wa nguvu yeyote ambaye anazo milioni zake na anataka gari flani dogo la kutanulia town, gari flani ambalo halifanani sana na mengine, aina flani ya gari ambayo haitumiwi sana na watu wengi…. inaitwa Mazda RX8 ambayo cc zake zinacheza kwenye 1300.
Unaweza kuangalia hizi picha hapa chini alafu ukishamaliza unaweza kulitafuta mwenyewe kwenye Internet au kwa Mawakala wanaouza magari pamoja na showroom za Tanzania uone unamalizana nayo vipi.
mazda 4
mazda 3
mazda 6
Mazda 2
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
Mazda 8
Mazda 10
mazda 11
mazda 12
Mazda 13
Bei za hii gari zinatofautiana kutokana na miaka na gari lenyewe kama inavyoonekana kwenye hii orodha hapa chini, gari ya kwanza ni ya mwaka 2007 na bei yake ni zaidi ya milioni 9 za Tanzania, inayofata ni ya mwaka 2003 inacheza kwenye bei hiyohiyo.
Inawezekana ukiitafuta sana kwenye Internet ukaipata yenyewe unayoitaka na kwenye baadhi ya showroom za Dar es salaam nimeiona hii bei yake inagonga mpaka kwenye milioni 18.
Mazda 14

No comments:

Post a Comment