HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 5 July 2016

VIDEO & PICHA 5: Mapokezi ya timu ya taifa ya Iceland ikirejea nyumbani


Maelfu ya mashabiki wa soka wa timu ya taifa ya Iceland walijitokeza katika mji mkuu wa nchi hiyo Reykjavík kuipokea timu yao ambayo ilikuwa inawasili kutokea Ufaransa ilipokuwa inashiriki michuano ya Euro 2016.
_90288585_mediaitem90288584
Timu ya taifa ya Iceland imewasili nyumbani ikitokea Ufaransa, baada ya kutolewa katika mchezo wa robo fainali dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa, mchezo ambao ulimalizika kwa Iceland kufungwa kwa goli 5-2. Kikosi cha Iceland kilipokewa na mashabiki 329,000.
_90288589_mediaitem90288588
_90288822_bb3d93aa-3cd9-4d8d-a2bc-b9c94416b957
Kocha wa timu ya taifa ya Iceland Lars Lagerback akitoa speech
_90288816_mediaitem90288592
Video ya mapokezi yenyewe ndo hii>

No comments:

Post a Comment