HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 4 July 2016

Picha,Diamond Platnumz kakutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,walichozungumza ndio hichi…


Hii ni Picha ya msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ambaye hivi karibuni alikuwa Marekani kwenye tuzo za BET, kupitia instagram yake anasema amekutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na wameongelea muziki wa Tanzania.
diamond p
Muda mfupi uliopita Nyumbani kwa Mh Waziri mkuu kassim Majaliwa tulipokuwa tukizungumza nae mawili matatu Namna ya kuupeleka Soko la Muziki wa Tanzania katika Hatua nyingine kubwa itayofaidisha wanamuziki, Wadau na Taifa kwa Ujumla…. Hakika najivunia na kufarijika sana kupata Waziri Mkuu mkarimu na Serikali iliyo na nia na juhudi ya kusaidia Tasnia yetu ya Muziki na Sanaa kwa Ujumla????
diamond p 2

No comments:

Post a Comment