Entertainment Picha,Magari yakuvimbia ya mastaa wa mbele.
Kila staa duniani huwa na magari tofauti pale anapopata utajiri
flani kutokana na kazi zake, Mastaa hupenda kuwa na magari ya Tour,
kazi, kutembelea na Kuvimbia mtaani.
Magari ya kuvimbia huwa ni magari ya kifahari yenye gharama kubwa kununua na kumudu pia.
No comments:
Post a Comment