HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday 4 July 2016

Video: Don Pol Ft. Mesen Selekta – Tatu


Msanii chipukizi wa muziki, Don Pol baada ya kufanya vizuri na video yake ya wimbo, ‘Wife Material’, hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Tatu’ akiwa amemshirikisha Masen Selekta. Video imeandaliwa na kampuni ya De Latality Music.

No comments:

Post a Comment