HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 6 September 2016

Audio: Mashabiki wadata na verse ya All The Way Up ya Diamond

Diamond Platnumz amejiongezea aka zingine mpya, Jini na Vampire. Jumatatu hii aliachia kipande cha verse kwenye hit single ya Remy Ma na Fat Joe ‘All The Way Up’ kilichoyakuna masikio ya mashabiki wake. Sikiliza hapo chini.

No comments:

Post a Comment