HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 6 September 2016

Baada ya miaka 56 na filamu 200, Jackie Chan atapokea tuzo ya Oscar mwaka huu.


Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutika China Jackie Chan ametajwa kupokea tuzo yake ya Oscar mnamo November mwaka huu.
Wajumbe wa bodi ya Academy of Motion Picture Arts na Science wamepiga kura hivi karibuni na kuchagua watu wakupokea tuzo ya heshima ya Oscar ambao ni Jackie Chan, Frederick Wiseman, Lynn Stalmaster na Editor wa filamu Anne V. Coates.
Jackie Chan alifanya filamu yake ya kwanza akiwa na miaka 8,na atapewa tuzo hii kutokana na uwezo na muda mrefu wa kazi bora kama mwigizaji na mtayarishaji aliyefanya vizuri kimataifa.
Ameigiza na kutengeneza zaidi ya filamu 30 akiwa Hong Kong, Hii ni post ya Jackie Facebook yake nakusema ni “Miaka 56 na filamu 200 zimepita mpaka leo na ndio muda wake kupokea tuzo hii ya heshima ya Oscar“.
jchan

No comments:

Post a Comment