HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 6 September 2016

Diamond Platnumz ana collabo inakuja na rapa mkali kutoka Marekani….



Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa ssa yupo nchini Marekani  Diamond Platnumz akifanya video ya wimbo wake na Neyo amethibitisha kuwa anakuja na rekodi mpya na Rapa Yo Gotti.

Kupitia Instagra yake leo September 5, 2016 Diamond Platnumz ameandika maneno hayaOne of the Realist G i ever met…. can’t wait for our Record….Let’s go get em fam!???? @Yogottikom
diamond na yo gutti 2

No comments:

Post a Comment