HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 6 September 2016

Kionjo cha All The Way Up Remix ya Diamond Platnumz.

Bongo Fleva super staa Diamond Platnumz ametuonjesha kidogo ujio wa Remix yake ya wimbo wa Fat Joe na Remy MaAll The Way Up‘ Ft French Montana.
Kwenye instagram yake Diamond kaandika huu ujumbe pamoja na hichi kionjo “ You know i Love being crazy Sometimes ???????????? #FoolingAround #AllTheWayUp #JINI #SIMBA #VAMPIRE Mendez tell those Mother*** ka!

No comments:

Post a Comment