PICHA &VIDEO: Apple wamezindua Iphone 7 na 7plus, wameainisha utofauti wake na Iphone 6
Good news kwa watumiaji wa Iphone, ambapo kampuni ya vifaa vya
electronics ya Apple kupitia bidhaa zake za simu imezindua toleo jipya
la Iphone7 na 7plus ambazo zimekuwa zikisubiriwa na wapenzi wa brand
hiyo ya simu huko San Fransisco, Carlifonia Marekani.
Mwenekano wa nyuma wa Iphone 7
Apple imeainisha utofauti wa Iphone 7 na 7plus kutoka kwenye Iphone6
kuanzia ubora mkubwa wa picha kwenye camera zake, fasta kwenye kuprosess
data, na zimekuja katika rangi nyingi tofauti tofauti zaidi ya zile nne
za mwanzo. Aidha zina uwezo wa kustahimili maji na kukaa zaidi ya
dakika 30 kwenye urefu wa futi3.2, pamoja ukubwa wa memory kuanzia 32GB
mpaka 256GB.
Pia Imezindua Airpods ambazo ni wireless sambamba na hilo zinatumia mfumo mpya wa flash wa (Quad-LED True Tone flash).
Airpods
Bei zake ni kuanzia:
Euro599 kwa Iphone7 ya 32GB mpaka Euro 799 kwa 256GB
Na kwa Iphone 7plus ni kuanzia Euro 719 kwa 32GB mpaka Euro919 kwa 256GB.
No comments:
Post a Comment