HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 7 September 2016

Siku chache zilizopita nilikusogezea video mpya ya single ya Dully Sykes iitwayo INDE aliyoshirikishwa msanii kutoka WCB, Harmonize sasa leo wametuletea hii behind the scenes ya video hiyo kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya.
Video hiyo mpya imetayarishwa na Director Hascana

No comments:

Post a Comment