HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 7 September 2016

VIDEO: Nyumba nne walizojengewa Yamoto Band na Meneja wao……


Ni Mkurugenzi wa Yamoto Band, Said Fella ambae hivi karibuni alizimiliki headlines  baada ya kuzionesha nyumba nne mpya  mbele ya waandishi wa habari alizowajengea Yamoto Band.
Nyumba hizo nne zipo Mbande Kisewe Chalinze Dar es Salaam ambapo muda wowote zitazinduliwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.
Itazame hii video hapa uone nyumba hizo nne za Yamoto Band

No comments:

Post a Comment