Diamond Platnumz ameingia kwenye headlines tena baada ya kupost nyumba kwenye instagram yake leo September 23 2016 ambayo ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Zari ambayo amemfanyia kama suprise aliyomnunulia nchini South Afrika, na kuweka caption nzito na hivi ndivyo alivyotiririka.
>>’They
are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids
staying in the Renting House… and today a person that, they are daily
abuse and saying that he’s broke & Poor Bought a House, so that
their Kids can have a better life, as they always wish on Social
Media….. Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African
House….Can’t wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow….I love you
So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady Umewahi kumzawadia nini mpenzi wake katika siku yake ya kuzaliwa?
Tyga alimpa Kylie Jenner gari la kifahari, lakini Diamond kampa Zari mjengo! Ndio maana raia huyo wa Uganda anasema, wenye wivu?
No comments:
Post a Comment