HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 2 December 2016

Picha,Mwanaume mwingine kachora tattoo ya jina la Shilole ubavuni….shishi

shilole-12


Wapenzi wa Shilole wanashindwa kujizuia kuchora jina lake kwenye sehemu tofauti ya mmili yao. Kama unakumbuka staa wa Bongo Fleva #NuhMziwanda alichora tattoo zaidi ya moja kwaajili ya Shilole ila baadae walitengana na Mziwanda kufunga ndoa.
This Time ni huyu kujana ambaye mpaka sasa haijajulikana ni nani ila amejichora tattoo ya jina la Shilole kwenye ubavu wake.
Picha hii ilikuwa kwenye IG ya Shilole na ujumbe uliosema Maswali stakiiiiii????”
shilole-12

No comments:

Post a Comment