VIDEO: Fahamu kuhusu gari linalombeba Rais Donald Trump Nouma sana
Mtandao wa The Richest
umetoa video iliyobeba maelezo ya vitu 10 vya kufahamu kuhusu gari
linalombeba Rais wa Marekani likiwa ni gari lililotengenezwa kwa oda
maalum na gharama yake ni tofauti kabisa na magari mengine ya brand
hiyo. Ni gari ambalo bomu au risasi havipenyi
na lina spidi ya ajabu na pia Dereva ambaye analiendesha sio Dereva
yeyote tu, wa hili gari ni aliyepatiwa mafunzo makubwa na kupambana na
dharura yoyote inayoweza kutokea, bonyeza play hapa chini kutazam
No comments:
Post a Comment