HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday 26 January 2017

VideoMPYA: Joh Makini ametuletea video mpya inaitwa ‘waya’



Ni Jumatano ya January 25 2017 ambapo mkali mwingine kutoka 255 Joh Makini amedondosha video yake mpya inaitwa ‘Waya’ na ametukaribisha kuitazama hapa na kisha kuacha comment yako umeipokeaje mtu wa nguvu
UMEPITWA? Tazama hapa chini kuona video ya Producer P Funk akizungumzia video iliyosambaa Mitandao ikisema ni mtoto wake.

No comments:

Post a Comment