Gumzo lake lilianzia baada ya kufuta picha zote kwenye
Instagram yake na kisha kupost picha chache akiwa bila nguo na mwili
wake ukionekana umeng’aa baada ya kupakwa mafuta ambapo alipoulizwa
alisema ni wimbo mpya unakuja unaitwa ‘tatu‘
Sasa leo Ben Pol ndio ameachia video yake ambayo ni hii unaweza kuitazama hapa chini na kisha ukaacha maoni yako baada ya kuitazama
No comments:
Post a Comment