Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ July 8, 2017
alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Grace ambaye walidumu katika
uchumba kwa miaka 13 ambapo watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na
wasanii walialikwa.
Moja ya mambo yaliyofurahisha katika tukio hilo ni surprise ya
mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye alitumbuiza…bonyeza
PLAY kwenye VIDEO hii kutazama!!!
No comments:
Post a Comment