HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 28 September 2016

Rais Magufuli aahidi kununua ndege zingine kubwa mbili, ya abiria 160 na 240



Rais-Magufuli


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli ameahidi kununuliwa kwa ndege zingine mbili kubwa kwaajili ya shirika la ndege la Tanzania, ATCL.

Ametoa kauli hiyo Jumatano hii kwenye uzinduzi wa ndege mbili mpya za ATCL kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.
Ndege hizo ni aina ya Bombadier Q 400 zimetengenezwa nchini Canada.
Amesema ndege mbili kubwa zikazonunulia hapo baadaye zitakuwa na uwezo wa kubeba abiria 160 na nyingine kubwa zaidi itakayobeba abiria 240 pamoja na mizigo yao. Amewahakikishia Watanzania kuwa fedha za kununua ndege hizo zipo.
Kuhusu ndege mbili zilizotua tayari kwa kuanza kazi, Rais Magufuli amesema serikali ilianza kwa kuzilipia asilimia 40 ya gharama zake na kisha kumalizia asilimia 60 iliyokuwa imesalia na kwamba zingekuwa na gharama zaidi kama zingelipiwa kidogo kidogo.
Rais amedai kuwa ndege hizo zina ubora wa uhakika na zinaweza kufanya kazi katika mazingira yoyote. “Nataka niwahikishie watanzania ndege hizi ni mpya, mzitumie kwa kujua ni mali inayotokana na kodi zenu,” alisema.
Ndege hizo zina uwezo wa kubeba abiria abiria 76, 6 wakiwa daraja la juu na 70 ni daraja la chini.
Pia alitumia fursa hiyo kukanusha madai ya baadhi ya watu kuwa ndege hizo hazikimbii.
“Natamani huyo aliyesema hazina spidi nimjue nimlipie nauli akae mbele aone zinavyokata mawingu,” alitania
Kwa upande mwingine Rais Magufuli amewakumbusha wafanyakazi wa ATCL kufanya kazi kwa weledi na kuepuka kufanya kimazoea huku wakitambua kuwa kuna ushindani katika sekta hiyo. Pia ameagiza wasiruhusu mtu yeyote asipande bure hata kama ni viongozi wa nch

Tuesday, 27 September 2016


Wasanii wa Kenya, Amos and Josh wameachia video ya wimbo wao Kupe, waliomshirikisha Ben Pol, Apio & Mohammed Amin

Are ‘Micro-Mansions’ the Next Big Thing? A Florida developer is betting on modest square footage that’s packed with amenities

Originally published on March 31, 2016|Mansion Global|
First, there were micro-apartments, multifamily units defined by the Urban Land Institute as 400 square feet or less (depending on the market), with functional kitchens and bathrooms. Then came the so-called “tiny houses” — a trend so popular it’s given rise to at least four reality TV shows.
Now, Frank McKinney, a developer based in Delray Beach, Fla., is gambling that ultra-wealthy homebuyers will be interested in purchasing what he’s termed a micro-mansion: a 4,042-square-foot, ultra-luxury home now under construction in Ocean Ridge, Fla., a coastal community about 30 minutes south of Palm Beach.
McKinney’s target market: high-net-worth individuals who can afford a $10 million house, but would prefer their luxury and privacy in a smaller, more manageable space.
“Many buyers are now plunking down $2,000 or $3,000 a square foot for condos in Miami,” said McKinney, who’s known for building multimillion-dollar speculative oceanfront mansions. “They would pay that [in Palm Beach County], but there’s nothing like that up here. I’m banking on the fact that they will appreciate a smaller house.”
This “smaller” house, slated for completion by the end of the year, will have three bedrooms, four baths, an ultra-modern design and unique amenities such as a sun deck that floats between two pools, antique wood flooring from a sunken 16th-century Spanish galleon, sea-glass kitchen countertops and a master bedroom suite with a second-floor outdoor shower that has trees growing into it. It’s located on a side street 345 feet from the ocean.
“The master bedroom is massive in relation to the rest of the house, and the kitchen is killer,” McKinney said. “But they’re small. I’ve built bedrooms bigger than this house.”
Frank McKinney’s “micro-mansion” is meant for high-net-worth buyers looking for a more manageable space.
Courtesy of Frank McKinney

According to the Realtors Association of the Palm Beaches, in February, there were 66 homes on the market in Ocean Ridge, a nine-month supply. The median sale price was $893,500, down 33.9% from the median of $1.35 million a year earlier. The current price range of listed single-family homes in the town is $624,900 to $9.8 million, according to realtor.com. News Corp, owner of Mansion Global, also owns Move Inc., which operates realtor.com.
McKinney, who purchased the quarter-acre site for the micro-mansion in October for $350,000, hasn’t yet set a price for the finished house. He said only that it will be priced between $4 million and $10 million and that he will finalize the price when completion is closer.
There’s been a surge in interest in micro-apartments and homes, particularly in large cities where development costs and rents have risen sharply in recent years, according to Stockton Williams, executive director of the ULI Terwilliger Center for Housing. “Most of the micro-unit properties have been aimed at the higher end of the market, although there are some exceptions,” he said.
“All it takes is one buyer,” said housing industry analyst Jack McCabe.
Courtesy of Frank McKinney

Williams is skeptical that a 4,000-square-foot home could be considered micro. “This whole term ‘micro-mansion’ is marketing,” he said. “For most people, 4,000 square feet would not constitute a small home or downsizing. Let’s just call it a large single-family luxury home, because that’s what it really is.”
Still, Williams said that some affluent buyers are willing to “trade space for place,” and that it will be interesting to see if there is a segment of the luxury homebuyer market that doesn’t want a 10,000-square-foot home and is willing to invest in a smaller property.
Laura Urness, a real estate agent with Lang Realty in Manalapan, Fla., has worked with buyers seeking to downsize. “There is definitely a market for this,” she said. “I don’t think there are that many new 4,000-square-foot houses in that price range. They’re either bigger or older.”
There is certainly a level of showmanship in McKinney’s announcement. “Frank likes to pride himself on being a market maker like Steve Jobs,” said Jack McCabe, a housing industry analyst in Deerfield Beach, Fla. “He takes great pride and looks at a house not just as a place to live but as a piece of artwork.”
In 2015, Knight Frank Global Cities Survey ranked Miami as the sixth-most important city in the world for ultra-high-net-worth individuals, at the time second only to New York City in the United States. It remains a popular destination for luxury spending among domestic and foreign buyers.
“He’s trying to reach a market that is not being served,” McCabe said. “All it takes is one buyer to decide that’s the lifestyle they’re see

Alikiba atajwa kuwania tuzo za MTV EMA 2016

Alikiba ametajwa kuwania kwenye tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards (EMA) kipengele cha Best African Act

kiba
Anakuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kutajwa kuwania kipengele hicho. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mshindi katika hatua ya kwanza ataendelea kwenda kuwania kipengele cha Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana alishinda Diamond Platnum

Video: Motra The Future Ft. Ruby – One Day

  Rapper Montra ameachia video mpya ya wimbo ambao unaitwa “One Day”, amemshirikisha Mwanadada Ruby. Video imeongozwa na Pascal Katambo.

VIDEO: Ndege mpya ya pili ya Air Tanzania ilivyowasili jijini Dar es salaam

Baada ya ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuwasili nchini September 20 2016, Leo September 27 2016  ndege yapili ya Bombadier Q400 imewasili Dar es salaam ikitokea Canada baada ya ile ya kwanza ambazo zimenunuliwa na serikali.
Naambiwa kuwa uzinduzi rasmi wa ndege hizo utafanyika kesho jumatano September 28 2016 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Dar es salaam.

Monday, 26 September 2016

Profesa Anna Tibaijuka kashinda tuzo nyingine Marekani


Usiku wa September 24 2016 heshima nyingine ya Tanzania iliandikwa nchini Marekani baada ya aliyewahi kuwa Waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka kushinda tuzo ya kimataifa ya ‘His Royal Highness Prince Khalifa bin Salman Al Khalifa Award  for Sustainable Development‘  ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuhamasisha maendeleo duniani.
Tuzo hizi za heshima hutolewa kila baada ya miaka miwili ambapo washiriki wakuu huwa ni wale waliowahi kufanya kazi na shirika la umoja wa mataifa ambapo mwaka huu Waziri mkuu wa Bahrain Khalifa bin Salman ndiye aliyemkabidhi tuzo hiyo Profesa Tibaijuka.
Kazi ya utoaji wa tuzo hizi ulifanyika katika makao makuu ya umoja wa mataifa New York Marekani ambapo viongozi mbalimbali duniani walishiriki kushuhudia tukio hilo huku Tanzania ikisindikizwa na  Waziri wa mambo ya nje Balozi Augustine Mahiga pamoja na mbunge wa viti maalum Anna Lupembe.
whatsapp-image-2016-09-24-at-07-54-22
Unapoingia na kutoka katika ukumbi ulikuwa unakutana na picha hii
whatsapp-image-2016-09-25-at-08-34-22
Profesa Tibaijuka na baadhi ya washiriki wakati wa utoaji tuzo
whatsapp-image-2016-09-25-at-08-34-23
Profesa Tibaijuka akikabidhiwa tuzo hiyo ya heshima
whatsapp-image-2016-09-25-at-08-34-24
Profesa Tibaijuka akitoa hotuba mbele ya waalikwa
whatsapp-image-2016-09-25-at-08-34-25
Baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa viliripoti tukio hilo kama unavyoweza kujionea hapa kwenye hii video..

Salamu za Mrisho Mpoto kwa Diamond Platnumz kuhusu wimbo wa Salome


Moja kati ya wasanii wenye heshma kubwa nchini na watunzi wa mashairi na nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika, Mrisho Mpoto, kupitia mtandao wa Instagram amemsifia Diamond Platnumz kwa wimbo wake mpya wa Salome na kusema kuwa amemfurahisha sana kwani amefanya wimbo wenye asili ya kwetu Tanzania na hiyo ni heshima kwa nchi.
 >>Nassibu kiukweli nimefurahishwa sana na kazi yako ya#Salome imeonyesha ukomavu Mkubwa na team work, kikubwa ukiwa unafanya kazi zenye test ya nyumbani unatupa heshima kama nchi na inakuonyesha wewe ni nani? na nani siyo wewe? Nassibu Mwenda kwao siku zote haogopi Giza, nenda lakini waambie nna kwetu, kama ulivyofanya kwenye Salome. Sisi ni wabantu bwana tunaruhusiwa zaidi ya mmoja, na Mimi ntamtafuta Salome wangu wa ukubwani ashike magoti nisimame kama ngongoti japo nna kitambi ntainama kidogo!!@diamondplatnumz @babutale
mpoto
Video ya wimbo wa Salome inazidi kufanya vizuri kwenye mtandao wa Youtube ukiwa umetazamwa na zaidi ya watu milioni 2 chini ya wiki moj

Video: Joka kubwa (Anaconda) lenye futi 33 lanaswa Brazil

. 38c4070300000578-3806020-image-m-78_1474790201277


 Joka kubwa lenye urefu wa futi 33 limegundulika kwenye eneo la ujenzi huko kaskazini mwa Brazil


Joka hilo lenye uzito wa kilo 400 lilipatikana baada ya wajenzi kulipia baruti katika pango lililopo Altamira, ParĂ¡

Rihanna ateuliwa kuwa balozi wa elimu duniani, huenda akaja Tanzania



rihanna-education
Rihanna anapenda watoto waende shule. Taasisi yake ya Clara Lionel Foundation imeungana na Global Partnership for Education and Global Citizen katika mradi wa miaka mingi wa kusaidia elimu duniani.

Kupitia mradi huu, Rihanna ana matumaini ya kuwatetea watoto zaidi ya robo bilioni ambao hawapo shuleni pamoja na wanafunzi milioni 330 ambao hawajifunzi kitu katika shule walizopo.
Akiwa kama balozi mpya wa dunia wa GPE, Rihanna anatarajiwa kufika katika nchi zinazoendelea zaidi ya 60, akizipa kipaumbele zile zenye uhitaji zaidi zikiwemo zenye migogoro. Tanzania ni moja kati ya nchini zenye changamoto kubwa za elimu.
Mwenyekiti wa GPE, waziri mkuu wa zamani wa Australia, Julia Gillard amesema anayo furaha kubwa kuingia ushirikiano na Rihanna, ambaye jina lake halisi ni Robyn Fenty.
Rihanna alianzisha Clara Lionel Foundation mwaka 2012 kwa kumbukumbu ya bibi na babu yake, Clara na Lionel Braithwaite.