Msanii huyo anatuhumiwa kuvunja simu ya Robert Earl Morgan aliposhtukia kuwa anarekodiwa kupitia simu hiyo wakati anakunywa pombe.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Morgan amedai kuwa kulikuwa na vitu vingi ndani ya simu hiyo, picha za sherehe ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa bibi yake, picha zake za chuo, picha 5000 na kumbukumbu ya video ya safari yake pamoja na namba za simu zilizokuwa kwenye simu hiyo aliyoivunja Bieber.
Mpaka sasa Justin Bieber bado hajazungumzia chochote juu ya tuhuma hiyo inayomkabil
No comments:
Post a Comment