HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday 15 May 2016

VIDEO: Vunja mbavu zako kwa Stand Up Comedy ya Idriss Sultan, Dogo Pepe na wengine

Usiku wa May 12 2016 Idriss Sultan, Dogo Pepe, Captain Khalid na comedian wengine walifanya show yao ya comedy na kuwavunja watu mbavu, watu mbalimbali waliopata nafasi ya kuhuhudhuria show hiyo ya Stand up Comedy walienjoy kutokana na ubunifu wa mastaa hao, kama hukupata time ya kwenda kuangalia show hiyo mtu wangu, nimekuwekea hapa


No comments:

Post a Comment