HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 3 July 2016

Entertainment Baada ya kurudiana na Kylie Jenner,Tyga katoa hii video mpya ‘1 of 1’ itazame hapa



Baada ya rapa Tyga kurudiana na mpenzi wake wa zaidi ya miezi sita Kylie Jenner,staa huyu wa “Cash Money” ametoa video yake aliyofanya Kingston Jamaica “1 of 1” .
Mwanamitindo wa Kanye West ‘Amina Blue’ ametumika kwenye video hii kama model na wimbo huu upo kwenye mixtape ya Tyga Bitch I’m the Shit 2.

No comments:

Post a Comment