HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 3 July 2016

Entertainment Hii Video mpya ya Fergie ‘M.I.L.F. $’ wapo Ciara na Kim Kardashian.



First lady wa kundi la Black Eyed Peas ‘Fergie’ katoa video ya wimbo wake mpya “M.I.L.F. $.” ambayo maana yake ni (Moms I’d Like To Follow) na kwenye video wanaonekana wanawake kama Ciara, Kim Kardashian West, na Chrissy Teigen na mtoto wake Luna.
Video imeongozwa na director wa Chris Brown ‘Colin Tilley’. Fergie anaelekea kutoa album yake ya kwanza baada ya miaka kumi,cd yake ya mwisho ilikuwa mwaka 2006 The Dutchess.

No comments:

Post a Comment