HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 3 July 2016

Entertainment Picha,waliochaguliwa kufanya show mbele ya Obama na Michelle Obama kwenye Independence Day.


Ikulu ya Marekani ‘White House’ imetaja majina mawili ya wasanii watakao fanya show kwenye siku ya Uhuru wa nchi hio kuwa ni Kendrick Lamar na Janelle Monáe na watafanya show hio mbele ya rais Obama na First Lady Michelle Obama.
Siku hii hufahamika kama Independence Day au Fourth of July na hutoa shukrani kwa wanajeshi wote walio na wanaojitolea kulinda nchi ya Marekani.
Wasanii hawa wanahistoria na Ikulu ya Marekani,Mwaka jana Kendrick alikutana na Obama nakuongelea issue ya My Brother Keeper  na baadae mwaka jana Obama alisema wimbo wa Kendrick wa “How Much a Dollar Cost” ndio wimbo wake bora wa mwaka 2015.Monáe pia alitoa wimbo wa “This Is for My Girls” uliotumika na Michelle Obama kwenye kampeni yake ya Let Girls Learn.
janelle-monae-kendrick-lamar

No comments:

Post a Comment