HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 4 July 2016

VideoMPYA: Harmonize kaachia video ya wimbo wake mpya ‘Matatizo’

Baada ya msanii wa Bongofleva Harmonize kuachia video yake ya ‘Bado’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz, leo July 4 2016 Harmonize ameachia video yake ya tatu ‘Matatizo’ Harmonize amechia video ya wimbo ambao hakuwa ametoa audio yake ila ameamua kuanza na video moja kwa moja

No comments:

Post a Comment