HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 3 July 2016

Picha,Gari anayoendesha Zlatan Ibrahimovic wa Man Untd.

Mshambuliaje mpya wa klabu ya Man Untd Zlatan Ibrahimovic hataki utani pala anapokuwa barabarani. Gari ya mchezaji huyu imetajwa kuwa na thamani ya nyumba tatu za ukweli nchini Uingereza.
Gari hii ni aina ya Porsche 918 Spyder na inathamani ya Pound £661,000, kwa mujibu wa gazeti la Mirror.
Gazeti la The Guardian lilitoa ripoti mwezi wa nne kuwa nyumba iliyokamilika vizuri Uingereza inauzwa Pound £200,251. Gari ya Zlatan ni Porsche 918 Spyder nyeusi na alionekana nayo mara ya mwisho nchini Sweden ila inategemewa kuanza kuonekana Uingereza.
porsche-918-spyder-weissach-11
 Zlatan-Ibrahimovic-car 2 Zlatan-Ibrahimovic-car 3 Zlatan-Ibrahimovic-car 4 Zlatan-Ibrahimovic-car 5 Zlatan-Ibrahimovic-car 6 Zlatan-Ibrahimovic-car 7

No comments:

Post a Comment