HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday 3 July 2016

ports Picha,Cristiano Ronaldo katumia milioni 11 za Tz kununua hii saa.


Cristiano Ronaldo akiwa na kitu kizuri kama viatu ,gari huwa hasiti kukionyesha mtandaoni na hivi karibuni ametuonyesha saa yake aina ya TAG Heuer CARRERA yenye thamani ya dola 5299 za kimarekani ambazo ni kama milioni 11 za bongo.

Ronaldo aliandika twitter Time to relax and bring out my Tag Heuer Carrera to fuel me up before the big match!‘,
 ronaldo
TAG Heuer CARRERA  12

No comments:

Post a Comment