HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 30 May 2016

Waliofukuzwa Chuo Kikuu cha Dodoma waigeukia hii kazi




Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya 
Moja ya story kubwa may 30 2016 kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘Waliofukuzwa UDOM wageukia udadapoa’, Gazeti hilo limeripoti kuwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliofukuzwa na uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma  ‘UDOM’ wanadaiwa kugeukia biashara ya uchangudoa mjini Dodoma ili kupata fedha za kujikimu na nauli za kuwarudisha kwao .
Gazeti hilo limeripoti kuwa Juzi kupitia kwa Mkuu wa Chuo cha Dodoma, Prof Idrisa Kikula kilitangaza kuwasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 7000 wa kozi ya Stashahada ya ualimu ambao hawakuwa na sifa za kusoma masomo hayo. 
Gazeti limedai kuwa juzi jioni eneo maarufu la CDA club lilikuwa na idadi kubwa ya kina dada wanojiuza wengi wao wakiwa ni wanafunzi ambao hawakuwa tayari kutaja majina yao.

TTCL kuondoa wazee na kuajiri vijana watakaoiwezesha ihimili ushindani

Siku za waajiriwa wazee kwenye kampuni ya simu Tanzania, TTCL zinahesabika. Ni kwasababu sekta ya mawasiliano kwa sasa imekuwa na ushindani mkubwa hivyo inahitaji vijana wabunifu na wanaoenda na wakati.
13298259_261567224232792_2022338966_n
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Mh. Prof Makame Mbarawa akimpongeza Afisa Mkuu Mtendaji wa TTCL Kamugisha Kazaura baada ya kuzindua nembo mpya hivi karibuni
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa alisema wakati umefika kwa wazee wanaofanya kazi TTCL, kuwaachia vijana.
Alisema hayo wakati akizindua nembo mpya ya kampuni hiyo na mtandao unaotumia teknolojia ya 4G LTE wiki iliyopita. Profesa Mbarawa alisema wazee wamekuwa watu wa kuzungumza zaidi ofisini, kuliko kufanya kazi na kubuni mbinu mpya zenye kuhimili ushindani.
13249629_1021836424576348_1770398696_n
Alisema uzinduzi wa nembo mpya katika kampuni hiyo, hautakuwa na maana ikiwa wafanyakazi wa kampuni hiyo hawatabadilika na kutoa huduma zitakazowavutia wateja. Aliishauri menejimenti kutoajiri watumishi kwa kujuana, bali watoe fursa kwa vijana wenye uwezo wa kuhimili ushindani unaotokana na mabadiliko ya teknolojia ya mawasilian

Video: Wabunge wawakingia kifua wanafunzi waliofukuzwa UDOM

Jumatatu hii Naibu Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amelazimika kusitisha shughuli za bunge hilo kabla ya muda baada ya wabunge kugoma wakitaka wajadili suala la wanafunzi walioondolewa kwenye chuo kikuu cha Dodoma, UDOM.
University_of_Dodoma
Wanafunzi hao takriban 700 walitakuwa wawe wameondoka chuoni hapo hadi Jumapili ya jana.
1464455041847

Good News kwa muziki wa Afrika Chris Brown kampa dili Wizkid



Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani Chris Brown kumpost msanii Wizkid kutoka Nigeria.
Katika ukurasa wake wa Instagram Chris Brown amempost Wizkid na kuandika maneno machache sana, lakini yanatafsirika kama kumualika mkali huyo wa Nigeria katika tour yake ya One Hell Of Nite Tour kwa mwaka 2016 atakayoifanya bara la Ulaya katika nchi za Uholanzi, Ujerumani na Denmark.
13
Muda mchache baada ya Chris Brown kupost picha ya Wizkid, staa huyo kutokea Nigeria alipost nae picha kama hiyo na kuthibitisha kuwa kuanzia June 5 hadi June 11 2016 atakuwa katika #OneHellOfANiteTour pamoja na Chris Brown.
12

Sunday, 29 May 2016

VideoMPYA: Baada ya kimya kirefu Marlaw na Fundi Samweli wametuletea ‘Pamoja’




Baada ya kimya kirefu Marlaw na Fundi Samweli wanatukaribisha kwa pamoja kuitazama video yao mpya iitwayo ‘Pamoja’ chini ya Director Jahman, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa kutoka bongoflevani wataiona hapa
.

Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA


Usiku wa May 28 2016 wapenda soka wote duniani macho na masikio yao ilikuwa ni katika uwanja wa San Siro katika jiji la Milan Italia, ili kutaka kufahamu nani atafanikiwa kuchukua Kombe la Klabu Bingwa Ulaya 2016 kati ya Real Madrid na Atletico Madrid.
34BAF13900000578-3614372-image-a-173_1464471606575
Real Madrid ambao wanatajwa kama klabu yenye mafanikio katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya, wameifunga Atletico Madrid kwa jumla ya penati 5-4, hiyo inatokana na dakika 120 za mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1, magoli ambayo yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 15 kwa upande wa Real, wakati goli la Atletico lilifungwa na Carrasco.
34B9D23D00000578-0-image-a-54_1464461875499
Kwa upande wa Atletico wanakuwa na bahati mbaya kutokana na kutofanikiwa kuweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo kwa mara ya kwanza, lakini kwa upande wa Real Madrid hilo linakuwa Kombe lao la 11 la Klabu Bingwa Ulaya, takwimu na bahati zimeendelea kuwa rafiki zaidi kwa Real Madrid kuliko Atletico.

PICHA:Bentley's new $277,235 Continental GT Speed looks like a car Superman would drive

Https%3a%2f%2fblueprint-api-production.s3.amazonaws.com%2fuploads%2fcard%2fimage%2f99195%2fbentley_gt_speed__gt_speed_black_edition_break_cover_in_new_york_city

Bespoke British ultra-luxury brand Bentley unveiled its updated 2017 Continental GT Speed and GT Speed Convertible. In addition to the "regular" (I use that word mildly) versions, Bentley is also offering Black Edition models for both the coupe and the 'vert.
Image: Bentley
And the thing is more similar to the man of steel than just in its color scheme. It is quite nearly faster than a speeding bullet.
No matter whether it's the Black Edition or otherwise, the car's 6.0-liter twin-turbo W12 engine can push it from 0 to 60 mph in 3.9 seconds on the way to a top speed of 206 mph.
That makes it amongst some of the fastest cars in the world. Given this thing weighs near 6,000 pounds and has some of the softest leather on the planet, that's no small feat.
For all that speed and luxury, you'll have to pay a price, of course. Pricing ranges from $240,300 for the GT Speed coupe all the way up to the GT Speed Convertible Black Edition at $277,235.
If you're interested in the GT Speed, Bentley dealers will take your orders now. Depending on how you specify your car, don't expect it to be delivered until later this summer, though.
Oh and, just because they optioned this one with a Superman-y paint scheme doesn't mean you have to. This is Bentley after all. You can have it painted any way you want, so long as you're willing to pay a bit extra.

Rise of Mechagodzilla: Nissan's 600-horsepower 2017 GT-R NISMO

Https%3a%2f%2fblueprint-api-production.s3.amazonaws.com%2fuploads%2fcard%2fimage%2f99794%2f3f5d7476976443eaae02b13710608b78

Video: Makomando – Sasanuvo

Video mpya ya wasanii Makomando wimbo unaitwa “Sasanuvo”, Video imeongozwa na Msafiri Shabani kutoka kampuni ya Kwetu Studio

Apple kuja na iPhone za vioo tupu

Kampuni ya Apple imedai kuwa inafanyia kazi toleo jipya la simu za iPhone ambazo zitakuwa za vioo tupu.



iphone-6-concept-nowhereelse-and-martin-hajek-003-1200x573
 Https%3a%2f%2fblueprint-api-production.s3.amazonaws.com%2fuploads%2fcard%2fimage%2f100171%2fiphone-6-cb-render


Akiongea kwenye mkutano wa kila mwaka wa wana hisa wa kampuni hiyo, mwenyekiti mtendaji wa kampuni inayotengeneza umbo la nje la simu hizo, Catcher Technology, Allen Horng alisema simu hizo mwaka 2017 zitakuja na umbo lenye vioo.
Alisema kuwa ili kuzipa uimara simu hizo zitaweka fremu ya chuma na kwamba zitawagharimu sana kuzitengeneza na hivyo bei yake kuwa juu. Toleo la simu hizo litakuwa ni iPhone 8.
Kampuni hiyo inatarajia kuzindua simu mpya za iPhone 7 baadaye mwaka huu japo zinadaiwa kutokuwa tofauti sana na iPhone 6 na 6s.