video mpya ya staa wa RnB Tanzania Ben Pol ambae round hii yuko na Mnigeria Mr Eaz kwenye single inaitwa ‘Phone‘ ambayo audio yake tuliipokea January 2017. Leo ni zamu ya video na ukishaitazama usiache kuandika comment yako mtu wa nguvu ili Ben akipita ajue watu wake wanasemaje.
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo
Dayna Nyange akiwa kamshirikisha Billnass,singo hii inaitwa Komela ilifanywa na Producer mwenye hits kadhaa Bongo anaitwa Mr T Touch na video yake imefanywa na Director wa Bongo pia anaitwa Ivan, ukishaitazama usisite kuacha comment yako
Mkali wa muziki wa Dance Tanzania Christian Bella anasema kwake yeye ngoma ya kufungulia mwaka ni hii ‘Hollah’ aliyomshirikisha Mkenya Khaligraph Jones, anakukaribisha kuitazama hapa
Rapper Ice Prince kutoka Nigeria ameachia video mpya ya
wimbo wake wa “No Mind Dem” ambao amemshirikisha Vanessa Mdee, nyimbo
hii inapatikana kwenye Album yake ya “Jos to the World”.
Ni Jumatano ya January 25 2017 ambapo mkali mwingine kutoka 255 Joh Makini
amedondosha video yake mpya inaitwa ‘Waya’ na ametukaribisha kuitazama
hapa na kisha kuacha comment yako umeipokeaje mtu wa nguvu UMEPITWA?Tazama hapa chini kuona video ya Producer P Funk akizungumzia video iliyosambaa Mitandao ikisema ni mtoto wake.
Waziri wa Fedha Tanzania Dr. Philiph Mpango amewaeleza Watanzania kila kilichosemwa kwenye mazungumzo IKULU na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ambaye ameitembelea Tanzania ambapo moja ya vilivyojadiliwa ni Fly Over ya Ubungo ambayo itasaidia sana kuondoa foleni sugu.
Kulikua na mazungumzo rasmi
yaliyofanyika IKULU na kubwa la kwanza ilikua ni kuihakikishia benki ya
Dunia kwamba kwa kweli ni wabia wetu wazuri wa maendeleo na Rais
amesisitiza kwa upande wa serikali tutaendelea kufanya kazi kwa ukaribu
na benki ya dunia.
Eneo moja ambalo Rais ameiomba
Benki ya dunia itusaidie kuharakisha kuanza utekelezaji ni pale Ubungo
kwenye makutano ya zile barabara.
Huu mradi wa Mabasi yaendayo
kazi hautakuwa na ufanisi kama bado pale Ubungo utategemea Askari wa
barabarani kuongoza magari kwahiyo Rais Magufuli amesisitiza zaidi.
Makamu wa Rais wa Benki ya
Dunia amekubali kwamba wataharakisha ule mchakato ili ujenzi wa barabara
za juu kwenye makutano ya barabara Ubungo uanze.
Kuhusu gharama za ujenzi wa
Fly Over Ubungo hatuna namba kamili kwa sasa kwasababu bado
tunakamilisha majadiliano lakini kwa takwimu za awali haitapungua Dola
za Kimarekani MILIONI 60
Mtandao wa The Richest
umetoa video iliyobeba maelezo ya vitu 10 vya kufahamu kuhusu gari
linalombeba Rais wa Marekani likiwa ni gari lililotengenezwa kwa oda
maalum na gharama yake ni tofauti kabisa na magari mengine ya brand
hiyo. Ni gari ambalo bomu au risasi havipenyi
na lina spidi ya ajabu na pia Dereva ambaye analiendesha sio Dereva
yeyote tu, wa hili gari ni aliyepatiwa mafunzo makubwa na kupambana na
dharura yoyote inayoweza kutokea, bonyeza play hapa chini kutazam
LAS VEGAS — Go ahead, throw a rock at your windshield. It might survive — if that windshield is made with Gorilla Glass.
The same material protecting the delicate LCD screens on millions of smartphones is now ready for your road trip.
Corning, the company that develops and manufacturers Gorilla Glass,
introduced Gorilla Glass for Automotive on Thursday at CES in Las Vegas.
It's related to the material used in smartphones, but with added
ingredients to protect it against the extreme cold, heat and sun
exposure experienced by most cars.
To demonstrate the
effectiveness and potential of glass in automotive use, Corning built an
electric car and equipped it with a Gorilla Glass windshield, sun roof,
rear window, dashboard, touchscreen steering wheel display and a
control panel resting between two seats.
Speaking about the potential of glass in a wide range of industries,
including automotive, Corning's chief strategy officer Dr. Jeffrey
Evenson said, "Glass can be to the next 50 years what silicon components
have been for the last 50 years."
Evenson said Gorilla Automotive Glass is thinner, lighter and
stronger than traditional automotive glass, allowing Corning to make the
windshield significantly thinner than a standard car windshield. In
fact, the glass throughout the car is lighter and thinner, which,
Corning claims, could make the car more energy efficient.
Corning executives also
claimed that Gorilla Glass Automotive is is two times more resistant to
sharp stone impact, which means that when that big truck in front of you
kicks back a pebble, you may not spider your entire windshield.
Because the entire dash was made of Gorilla Glass, it could also
accommodate a video screen in front of the passenger seat. During the
demo, a movie played as the rest of the dash focused on driving tasks
like speed and navigation.